Lishe Stahiki

Lishe Stahiki

Acha kujilisha sumu wanazoita ‘chakula’! Mwili wako, hasa baada ya miaka 40, unahitaji lishe hai, vyakula vya alkali vinavyotoka ardhini, sio kwenye viwanda vyao. Hapa utajifunza kuhusu African Bio-Mineral Balance – orodha ya vyakula ambavyo Mama Asili amevibariki kusafisha, kujenga upya, na kuupa mwili wako uhai wa kweli. Hii si kuhusu ‘kalori’ au ‘protini’ zao; hii ni kuhusu kuishi kwa kula uhai.

Elimu ya afya kwenye email

Jiunge na wanaume 17326 wanaopata elimu ya afya kupitia email zao kila siku. Ingiza email yako hapa chini kujiunga sasa!
Ni elimu tu, hakuna janja janja ✨